Ankal akiwa na kocha wa Taifa Stars Jan Poulsen (kati) na kocha wa Liverpool FC America, Giampaulo Pedroso, ambaye yuko vekesheni nchini. Hii ilikuwa leo katika hoteli ya Movenpic jijini Dar. Kocha Pedroso, ambaye ni Mbrazil amekuja kutupia jicho soka la bongo. Hajaahidi kitu lakini ukiangalia tovuti yao www.liverpoolfcamerica.com utaona jamaa hawana mzaha. Ankal ambaye ameanza kupumua baada ya 'mgonjwa kuanza kuomba uji' kule bwawani na kuonesha matumaini, alifurahi sana kukutana na kocha Pedroso.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...