Balozi wetu Marekani na Mexico Mh. Mwanaidi Maajar akikaribishwa rasmi na mstahiki Meya David Bieter wa Jiji la Boise, Idaho ofisini kwake hivi karibuni.
Balozi Mwanaidi Sinare Maajar akiwa na Meya wa Jiji la Boise Mstahiki David Bieter pamoja na Afisa wa Ubalozi Suleiman Saleh and Rais wa Wafanya Biashara wa Jiji la Boise Bw. Connor. Katika ziara maalum ya kibiashara akiwa ameweka historia ya kuwa balozi wa kwanza kutoka Tanzania kufanya ziara ya aina hiyo, ambapo pia alipata fursa ya kukutana na watanzania waishio katika jimbo hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tangu Mhe. Maajar awasili Marekani amekuwa Balozi kwli wa Tanzania. Ameanza hapa Washigton kwa kuonana na Watanzania na kuwakariisha Ubaloz na kutoa business cards za na mob. namba yake kitu ambacgo kimevutia watanzania kwani amekuwa ni wa watu saana. Pia anakwenda katika majimbo si yale yalizooleka California ,Seattle, New York na Boston bali amekuwa na hamsa na kwenda katika majimbo ambayo huwezi kuamini kwamba ni Marekani kwani hayavumi. Piga kazi mama fikisha ujumbe wa Tanzania kote Marekani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...