Katibu Mkuu wa TFF Angetille Osiah 'Ngeta' akipokea wachezaji na vuiongozi wa timu ya taifa ya Palestina wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao dhidi ya timu ya Taifa ya Tanzania Jumatano ijayo.
Juu na chini ni wachezaji wa timu ya Taifa ya Palestine
Baadhi ya wachezaji wa Palestine
Viongozi na wachezaji wa Palestine
na maafisa wa ubalozi wao Dar
Wakiingia garini. Picha zote na mdau Rajabu Mhamila



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Uncle tubadilishie basi kichwa cha habari.... kimenichanganya kidogo unajua...halafu kuna watu huwa wanasoma tu vichwa vya habari so utakuwa hujawatendea haki...
    Pamoja sana tu....

    ReplyDelete
  2. Dah hadi palestina kuna tawi la CCM

    ReplyDelete
  3. halafu mwambie huyo katibu wa TFF aache kubeba-beba camera, yeye sio mwandishi wa habari tena ni kiongozi wa chama cha soka. makamera ya nini tena?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...