Makamu Mwenyekiti wa Yanga Davis Mosha
akiwa na mchezaji John Carew wa Stoke City hoteli ya Hyatt,
Birmingham usiku huu. Huyu baba ni kutoka Gambia na mama ni wa Norway. Kwa sasa yuko kwa mkopo Stoke City akitokea klabu ya Aston Villa

Makamu mwenyekiti wa Yanga Davis Mosha (kati) na wajina wa ankal wakijaribu kumshawishi mlinsi mahiri wa klabu ya Newcastle ya Uingereza Sulzeer Jeremiah a.k.a Sol Campbell atue jangwani usiku huu hoteli ya Hyatt jijini Birmingham, Uingereza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nafikiri Unco umechemsha kuhusu John carew kuzaliwa Gambia!John amezaliwa Norway na nimnorwigian isipokuwa baba yake nimgambia na mama yake Mzungu mnorwigian!

    ReplyDelete
  2. Sasa Ankal vipi na huo uongo wako? Eti huyu ni mzaliwa wa Gambia!! mhh h Carew si mzaliwa wa gambia ila baba yake ni mgambia na mama yake mnorway na yeye alizaliwa hapa norway, chunguza data vizuri kaka

    ReplyDelete
  3. Michuzi hakukosea, kasema (kuhusu John Carew) "huyu Baba ni kutoka Gambia na Mama ni wa Norway" hakusema John Carew kazaliwa Gambia, someni vizuri maelezo ya picha nyie watoa maoni wawili wa mwanzo, ikibidi nendeni mkapime macho ili muanze kutumia miwani ya kusomea.

    ReplyDelete
  4. Hahaahah Unajuwa hata mie naweza kuwatetea watowa maoni wawili wa mwanzo mdau usiwalalamikie sababu labda hujaona mwanzo kabisa Michuzi aliandika nini kabla kubadilisha tusiwe tunawarukia watu makucha ya Paka kabla kuelewa ilikuwaje mwanzo? Michuzi naye kama bianadamu tusiwe tunamuita mtu muongo labda alikosea tu. KZ

    ReplyDelete
  5. wamesoma kwa haraka,,,, inatokea hata mitihani mtu anafeli kutokana na kutokuwa makini

    ReplyDelete
  6. michu umenichekesha kweli! hao yanga wakimtaka huyo ni wazi WAUZE LILE JUMBA KWANZA NDIO wamnunue ....lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...