Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Zimbabwe Mhe. Thokozani Khupe. Mhe. Khupe alifika Ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo, kwa ajili ya kumkabidhi Ujumbe Maalum wa Rais Kikwete, kutoka kwa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe unaoelezea juu ya maendeleo na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika miaka miwili ijayo Nchini humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...