Bingwa wa sanaa za kujilinda Edgar Kaliboti anayeishi na kufanya kazi Sydney, Australia, yuko vekesheni na leo kamtembelea ankal ofisini kwake hapa Dar kubadilishana mawazo. Video ya mahojiano na Kaliboti inaandaliwa na ameongelea mambo kibao. Kaa mkao wa kula

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...