Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Afande Akili Mpwapwa akionesha moja ya gari ambalo lilikuwepo katika mabadilisho mara baada ya kuibiwa na kuifadhiwa katika nyumba ya rubani mmoja wa ndege (jina kwapani) iliyopo katika maeneo ya Sombetini jijini Arusha.
Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ngari za wizi zipo nyingi mitaani ila itakamatwa pasipokuwa na ulaji kwa wadau.... wanachomeana line kwa afandez....juzijuzi tuliskia pededjee mmmoja kakamatwa na mali za uwizi na hata mh mmoja wa mjengoni alikutwa na ngari la wizi tena la sirikali!!! sasahivi kimyaaa mambo mswanu.... na tena si ajabu wamerejeshewa mali hizo..... shauri yako...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...