Habari za kazi kaka Michuzi.
Tafadhali naomba unipeperushie pongezi zangu kwa binti yangu mpendwa.Mtabutwa Makanya kwa kutimiza miaka minne siku ya leo 28/2. Mwenyezi Mungu amjalie maisha mema na merefu yenye wingi wa rehema,upendo, hekima na busara.
Asante. Aunt Rachel M.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. birthday ya kuzaliwa?

    ReplyDelete
  2. Hongera mama na baba Mtabutwa kwa kumtunza mtoto vizuri.Naona Mtabutwa amekuwa dada sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...