Tamasha la Jazz for Relief Night linatarajiwa kufanyika Jumamosi tarehe 5 Machi ambayo ni siku ya wapenda jazz music kukusanyika katika Jazz & Blues bar pale Harbour View Suites Hotel ghorofa ya 9 (JM Mall) mtaa wa Samora jijini Dar.

Madhumuni ya tamasha hii ni kuchangisha pesa za kusaidia walioathirika na mabomu kule Gongo la Mboto. Tunatafuta wadhamini wa tamasha hili, na mashabiki wanaopenda muziki uliotulia -- JAZZ, kutuunga mkono. Wanamuziki wa jazz hapa nchini wata tumbuiza siku hiyo, akiwepo pia Joett.

Kwa habari zaidi, BOFYA LINK HII
Jazz for Relief Night at Harbour View Suites Hotel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...