1. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda Mb (kushoto) akiwa na Katibu wa Bunge la Uingereza (House of Commons) Bw. Malcolm Jack alipomtembelea ofsini kwake Dar es Salaam leo. Bw. Jack yuko nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine kwa siku mbili mfululizo ametoa mafunzo kwa wafanya nyakazi wote wa Bunge kuhusu uendeshaji wa shughuli za Bunge.


1. Bw. Malcolm Jack akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Bunge. Kushoto kwake ni Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Bw. Ibrahim Mzee Ibrahim

1. Bw. Jack akimtabulisha kwa Spika Bw. Peter Tesha (kushoto) ambaye anasoma Chuo cha Uhasibu Arusha . Bw. Tesha anafadhiliwa na Bw. Malcolm Jack. Wa pili kutoka kushoto ni Bw. James Warburg, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Bunge

Sehemu ya wafanyakazi wa ofisi ya Bunge wakimsikiliza Bw. Jack
Sehemu ya wafanyakazi wa ofisi ya Bunge wakimsikiliza Bw. Jack
Sehemu ya wafanyakazi wa ofisi ya Bunge wakimsikiliza Bw. Jack

Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Bunge wakiagana na Bw, Malcolm Jack



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...