Marehemu Mch. A.B.C Mabondo

Leo tarehe 4Feb 2011 ni miaka miwili toka
baba yetu mpendwa Mch. A.B.C Mabondo
alipotutoka kimwili.

Imekuwa ni kipindi kizito na kigumu kutokuwa naye, lakini kiroho tuko naye maana upendo wake aliotuonyesha, maneno aliyokuwa akituambia, mafundisho aliyotufundisha, maonyo aliyotuonya na maombi yake aliyotuombea bado yanafanya kazi ktk maisha yetu.

Kila jambo kuna majira yake. Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa... Mith 3:1-2
Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda. 2Tim 4:7

Tunamshukuru Mungu kwa yote,

ni sisi wanafamilia ya Mch. A.B.C Mabondo"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...