MAREHEMU GEOFFREY M. NKURLU

MPENDWA BABA YETU GEOFFREY M. NKURLU, ILIKUWA SIKU, MWEZI NA HATIMAYE LEO TAREHE 17/2/2011 UMETIMIZA MIAKA 10 TOKA UTUTOKE KATIKA DUNIA HII.TUNAFARIJIKA KWASABABU TUNA AMANI UKO PAMOJA NASI KIROHO SIKU ZOTE.

BABA HAKUNA SIKU IPITAYO KWETU BILA KUKUMBUKA KWA UPENDO NA UKARIMU WAKO,USHAURI MWEMA, MISIMAMO BORA NA BUSARA ZAKO KATIKA KUTULEA NA KUTUUNGANISHA SISI WANAO NA FAMILIA PAMOJA,BUSARA ZAKO ZIMEKUWA DIRA NA NURU KATIKA MAISHA YETU.TUNAENDELEA KUKUOMBEA NA TUNAENDELEZA YALIYO MEMA KWA WAJUKUU ZAKO UPUMZIKE KWA AMANI.

DAIMA UNAKUMBUKWA NA WATOTO WAKO: MASALA,MATINA,NZIGIA,AMANI,ANGAZA,ATUZA.WAJUKUU ZAKO AMANI,VANESA/SALOME,NGULLA,KAKA YAKO EPHRAIM NA DADA YAKO EVA NA WADOGO ZAKO WOTE,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI PAMOJA NA WAUMINI WENZAKO.DAIMA TUTAKUKUMBUKA MILELE.

BABA TULIKUPENDA SANA, LAKINI MUNGU BABA WA MBINGUNI ALIKUPENDA ZAIDI.BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. I worked with Geoffrey. He was truly a father who cared deeply for his family; a friendly gentleman who empathised with others; a diplomat who believed and stood for his country; and a civil servant whose dedication to service was doubtlessly exemplary. His memory leaves with his family and all of us who had the priviledge to work with him. TM

    ReplyDelete
  2. R.I.P Uncle.

    ReplyDelete
  3. Death leaves a heartache no one can heal, Love leaves a memory no one can steal. Thank you for the love you gave and taught us. We love you and miss you. I know you are watching over us. Rest In Peace baba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...