Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Bw. Ludovick Utouh akimsindikiza katibu mkuu kiongozi Mh. Philemon Luhanjo baada ya kufungua mkutano wa wafanyakazi wote wa ofisi ya taifa ya mkaguzi na kulia kwake ni mkurugenzi wa utawala katika ofisi ya mkaguzi Bi. Selina Lyimo leo ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...