Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe. Thanduyese Henry Chiliza, wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal kulia, akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Alfonso E. Lenharadt, Wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya mazungumzo, ambapo kwenye mazungumzo yao Balozi huyo alimuahidi Makamu wa Rais kuwa, Marekani itaendelea kukuza na kuimarisha ushirikiano na Tanzania katika nyanja za kimaendeleo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal kulia, akizungumza na Balozi wa Cuba Nchini Mhe. Ernesto Gomez, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo, katika mazungumzo yao walizungumzia juu ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kimaendele kati ya Cuba na Tanzania.Amour Nassor VPO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...