Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi aka Mr II aka Sugu tarehe 20 Mwezi huu anatarajiwa kuwa Club Billicans jijini Dar kwa ajili ya kuwashukuru wananchi pamoja na mashabiki wake ambao wako nae mpaka sasa. Mbali na kuwashukuru Sugu pia ataizindua mixtape ya Anti Virus huku akisindikizwa na wasanii wengine wakiwemoOrijino Komedi, Salu T na member wote wa Anti Virus. Na Mtoto wa Kitaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...