MJUMBE wa Bodi ya wadhamini ya NSSF, Mh. Mudhihir Mudhihir (kushoto), akizungumza na Mbunge wa Ilala, Mh. Mussa Hasaan Zungu na Mkuu wa Uendeshaji wa NSSF, Crescent Magori wakati wa mkutano huo. Mh. Zungu alitarajiwa kutoa mada kuhusiana na mradi wa ujenzi wa makazi ya kisasa utakaofanywa na NSSF eneo la Mchikichini, Dar es Salaam.
Viongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakijadiliana jambo, kabla ya kuanza mkutano wa kwanza wa wadau wa shirika hilo, leo katika ukumbi wa Simba, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (IACC) mjini Arusha. Kutoka kushoto ni Mkurugnezi wa Uendeshaji Crescentius Magori, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamnini wa Shirika hilo, Mh. Abuabakari Rajabu. Nyuma yao ni Mkuu wa Uhusiano na Huduma kwa wateja, Bi. Eunice Chiume
Waziri wa Kazi Mh. Gaudencis Kabaka akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dr. Ramadhani dau na Mkuu wa Wilaya ya Arusha kuingia ukumbi wa Simba wa AICC
Sehemu ya wadau wa NSSF mkutanoni humo
Picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa
mkutano wa wadau wa NSSF
.
Picha na dullonet

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ahsanteni wakubwa, chonde chonde na lile daraja la Kigamboni vipi? Tafadhali yaibueni tena yale majalada ya huu mradi kutoka yalikochimbiwa!Pamoja na miradi mingine, endeleeni kuisaidia Serikali kugharamia miradi hii, kwa faida ya watanzania wote pasipo kusahau mafao ya wenye pesa zao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...