Familia ya Malewo wa Reading-United Kingdom inasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpenzi Edina Malewo kilichotokea jana usiku huko Moshi - Tanzania. Marehemu ni mama yao na Anita, Elda na Sheillamina.

Mipango ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika Moshi, Tanzania mara baada ya kuwasili watoto wote wa marehemu inafanywa. Habari za msiba huu ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.

Tunahitaji msaada wenu wa hali na mali ili wafiwa waweze kuwahi mazishi. Tunaomba kuwafariji wafiwa kama ilivyo desturi yetu, tafadhali mtaarifu na mwenzio.

Wale wote ambao mpo Reading, Berkshire Msiba upo:

21 Don close,
Tilehurst,
Reading,
Berkshire
RG30 4YL.

Nyumbani kwa pastor Noel

(kwa maelezo zaidi piga simu +44 7714024620 kupata direction)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...