NDUGU NA FAMILIA YA MUNGA WA ILALA NA SOUTH AFRICA, INA MAJONZI MAKUBWA SANA KUTANGAZA KIFO CHAMTOTO WAO, KAKA YAO NA MJOMBA WAO MPENDWA JUNE MUNGA (33yrs.) KILICHOTOKEA HUKO SOUTH AFRICA USIKU WA KUAMKIA JANA.

MSIBA UTAKUWA ILALA KWA BIBI ESTHER.

ASANTENI.

TULIKUPENDA SAAAANA JUNE,

LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI,

WE MISS YOU ALREADY,

REST IN PEACE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Poleni sana, Mungu awape uvumilivu katika wakati huu mgumu!

    ReplyDelete
  2. Duh!
    poleni sana wafiwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...