Mwenyekiti wa Mtandao wa ARTERIAL Tanzania,Laurian Kipeja akikabidhi katiba ya Mtandao huo kwa Mh. Abdillahi Jihadi,Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo ili aweze kuipitia na kuona ni nini Mtandao huo utahitaji kuwafantia Watanzania wakati wa uzinduzi wa mtanzao huo hapa nchini uliofanyika jana jioni katika hoteli ya Zanzibar Grand Palace,Zanzibar.
Viongozi wapya katika sekta mbali mbali ndani ya mtandao,toka shoto ni Makamu Mwenyekiti wa Mtandao huo,Ally Bakari,Katibu Mkuu wa Mtandao,Hassan Bumbuli,Mjumbe wa Mtandao katika Sekta ya Muziki,Sauda Simba,Mjumbe katika Sekta ya Habari,Sophia Ngalapi,Mjumbe katika Sekta ya Maonyesho,Godfrey Mngereza pamoja na Mjumbe katika Sekta ya Sanaa na Ufundi,Sharifa Juma wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika uzinduzi huo wakifuatilia kwa makini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...