Beki wa Yanga, Juma Abdul akiwatoka wachezaji wa Mtibwa Sugar wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mtibwa Sugar ilishinda 1-0.

Benchi la ufundi la timu ya Yanga. Kulia ni kocha Fred Felix Kataraia Minziro.
Picha na Francis Dande wa Globu y Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Fred Felix, Mbona anachezea simu au anaomba ushauri kwa Papic? Baada ya kuangalia wachezaji wanavyocheza yeye anachezea simu.Angalia Minziro wanachama wataandamana mpaka nyumbani kwako.

    ReplyDelete
  2. KENNETH MKAPA,ABUBAKAR SALUM (SURE BOY),ATHUMANI CHINA,METHOD MOGELA(FUNDI)those were the days

    ReplyDelete
  3. bila ya kumsahau HAMISI GAGA (GAGARINO)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...