Mwenyekiti wa Fabak Fashion Bw. Khamsin akiwa na mama wa mitindo ambaye ni mai waifu wake Asia Idarous Khamsin wakitambulishwa kwa kadamnasi wakati wa shoo ya Lady in Red 2011 iliyofana sana katika hoteli ya Movenpik jijini Dar usiku huu
Mbunifu anayekuja juu kwa kasi Rahma W. Mbarouk wa Asmahan Fashions akiwa na mai hazbendi wake baada ya kuonesha ubunifu wake usiku huu



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...