Assallam alaikum uncle Misupu,

Minal aidina minal faizina uliniona kimya sasa hivi mzima.
Tunasherehekea Idi huku darajani kama unavyojua mwezi umeandama usiku huu.

Ningependa nikutumie hii linki uwaekee wadau ili wajua sababu zilizomfanya Mzee Abramovich Kuchana Pochi usiku.

http://www.chelseafc.com/page/LatestNews/0,,10268~2281570,00.html
Tafadhali usibanie tunajua
inakuuma sana lakini ndio ukubwa huo.
Mdau EL NINO Helsinki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamaa aliwaumiza sana chelsea, hawana budi kumnunua kwa 5o milioni.

    ReplyDelete
  2. Dah, El Nino .....huyu ni Ezza au Eddo?. David Dar.

    ReplyDelete
  3. Naona kuna msiba mkubwa anfield.

    ReplyDelete
  4. Torres was tired of dissapointments from the club and thats why he decided to move to chelsea where he can achieve his goals.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...