Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mashemeji wa zamani ilikuwa hadi uwazimie taa, siku hizi wanazizima wenyewe kabla hujawaambia, huwa wanaona unawachelewesha kupata "usingizi mnono".
    Teh Teh Teh!!!!!!!!!!!!!!!!!


    Abiola Jr.

    ReplyDelete
  2. Muziki safi kabisa, uliimbwa mwaka 1965 lakini mpaka leo unafurahisha.

    ReplyDelete
  3. mimi kwenye kuzima taa siko muziki na mpangliio mzima wa upigaji wa vyombo unaonyesha jinsi gani muziki wa dansi letu unastahili kupigwa na sio bata kavaa kandambili kuku kapiga chafya hii generation ya kiduku inatakiwa kuji funza mambo mengi kwa watu kama hawa hata twanga nakina mzee wafarasi miziki yao ukienda ni ovyo kabisa haina mpagilio wa kukunyanyua kitini na shemeji yako.

    ReplyDelete
  4. hao mashemeji sio wanawake tu hata wanaume ni mashemeji tena ndio wa kwanza kuzima taa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...