Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo nchini (SIDO),Mike Laiser akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi Muungano wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) katika ukumbi wa bustani za Hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar usiku huu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo nchini (SIDO),Mike Laiser akiwa katika mazungumzo na Afisa wa Mfuko wa Kimataifa kwa ajili ya Maendeleo ya Kilimo nchini (IFAD),Mama Mwatima Juma mara baada ya uzinduzi wa mradi wa Muungano wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) katika ukumbi wa hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar usiku huu.

Baadhi ya wadau wa waliohudhuria uzinduzi huo.

Mnamaliza mapesa bure hapo hotelini...mngekutana kijijinikwa mlengwa!
ReplyDeletePesa Amerika inazotoa kwa misaada huingiza 25% zaidi ya hizo kutokana na hiyo misaada!