Home
Unlabelled
Taarifa ya waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi kuhusu mgomo na maandamano ya wanafunzi udsm
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mhe. Dkt Kawambwa, kwanza nikupongeze kwa kuchukua muda wako kuupatia umma taarifa rasmi juu ya mgogoro huu. Hii ni hatua kubwa ya maendeleo katika utawala bora.
ReplyDeleteNina ushauri mdogo ambao ningeomba uufikishe hata kwa wenzako katika Baraza la Mawaziri: kwamba imefika wakati Serikali iachane na utendaji wa ku-REACT, na badala yake iwe PROACTIVE. Hakuna sababu ya kusubiri hadi wanafunzi au kundi lo lote lile waombe au waandamane ndio tufanye marekebisho katika sera husika. Umeeleza vizuri sana kwamba kutokana na kupanda kwa gharama za maisha serikali iliongeza posho mfululizo kati ya mwaka 2005/06 na 2007/08. Sasa kama ilifanya hivyo, kwa nini haikutumia vigezo ilivyovibaini ili kuongeza posho hiyo mwaka 2000/09, 2009/10, na sasa tumeingia 2010/11 - inasubiri kupelekewa maonbi!!!!! Kwa maneno mengine wanafunzi wanaandamana kwa sababu serikali imeshindwa kutimiza wajibu wake - wajibu wa serikali sio kusubiri kujibu malalamiko ya wananchi, bali ni kutengeneza sera muafaka ili kutosheleza mahitaji ya wanaotawaliwa.
Achaneni na biashara ya mikopo waachieni taasisi za fedha hiyo kazi. Hilo ndilo suluhisho la migomo ya wanafunzi. Serikali na mikopo wapi na wapi?
ReplyDelete