Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. kaka michuzi naona mnarudi c haba never walk alone

    ReplyDelete
  2. hahahahaha Liverpool wana the last laugh with 50 Mil pounds. Jana watu walitucheka kwa kutoa draw 4-4 na Newcastle besides the facts that Referee gave them(Newcastle) 2 dubious penalties.Cha ajabu Man utd walitunguliwa na leo Chelsea wametunguliwa.It couldnt get better weekend than this.

    ReplyDelete
  3. wewe Torres mwehu,yaani sijaamini ulivyosema Chelsea timu kubwa!!!ha ha ha,utawafunga hao hao sio liverpool

    ReplyDelete
  4. pakakalakashataFebruary 06, 2011

    safi sana liverpool tunarudi kwenye mchezo sasa

    ReplyDelete
  5. Wallahi nabata ushungu wallahi. Oooohhh, huu ni mwaka wa Chelsea again, ooohhh what? Wamiliki Wamarekani hawatakubali kutoa hongo ili timu ipendelewe kama hao Man U or Chelsea, NEwcastle n.k.Sasa ni fimbo tu kwa kwenda mbele. Pound Milioni 50 my D.

    ReplyDelete
  6. jana shetani likachomwa na moto jamani LOL aibu saana,ila I knew this toka jamaa ahamie kule,akajifunze kudrible upyaa first stage kabisa labda,yani mziki huu Carroll hajaanza n Suarez hajacheza,bado point sita tu tuwatoe huko walipo kwny top 4 yetu,nadhani itabidi wamuuze Torres upyaa tena na sidhani km summer watanunua mtu washachapika vby sana kwa sasa,Michudhiiiiii mwaga ugali tu hapa haijalishi coz this week am soooooooooooooooo happy haswa kwa kuwa na shetani likafungwa aseee yaaaaaaaaaaaani eh we acha tu!

    ReplyDelete
  7. Torres ' I want to go to a bigger club to win the premiere lg and champions league'

    You Fernando EL TRAITOR Torres are the biggest fool..how can you join The pensioners club' and think is bigger than the mighty Reds???

    Even Man U fans AGREE that liva is the biggest club...5 champions lg cups, 1 europa lg cup, 18 british lg cups.

    Mzee wa liva
    small club chelsea has never won any european cup.

    Hii ni KANYAGA TWENDE Man U akiipiga chelsea mechi 2 liva tunakamata nafasi yetu ya 4..machine zetu MPya 2 zitatesa sana

    ReplyDelete
  8. BADO MANCHESTA KUMAMBUZ ZENU MKITIA TIMU ANFIELD TUTAWATANDIKA KISAASAWA. TENA NYIE WAZEE WA KUBEBWA TUTAWATAKA MJE NA HARROLD WEBB ACHEZESHE.

    UKWELI NI KWAMBA WAZEE WAZIMA MAN U NA CHELSEA WAMEISHAPOTEZA NETWORK WAPISHE NJIA WANAUME WAFANYE MAMBO KUDADADADADADEKI

    ReplyDelete
  9. Sijui chelsea watatakawauziwe mchezaji gani tena,mwaka huu wamepata vichapo kwa kwenda mbele

    ReplyDelete
  10. Mashabiki wa bwawa. mbona kelele nyingi ilhali bado tun mechi nyingi hadi ligi kwisha? Tulieni kwanza na pointi zenu za kuokoteza, kabla hamjabwabwaja! Man U ni chama kubwa! Kanyaga twende!

    Mdau wa Mwenge

    ReplyDelete
  11. Morinho anarudi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. KUMEKUCHA!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  13. Michuzi leo ulitakiwa ukurasa mzima uweke matukio ya mechi ya jana tu ili tusherehekee ushindi na wasio na blog wanune maana walichonga sana.sasa tumerudi upyaaaaaaaaa.kaeni mkao wa kula.
    When ur with us,,U will never walk alone.....

    ReplyDelete
  14. Na bado, hii kanyaga twende sasa tushafunguka kwa kasi ya ajabu, wigan wakae mkao wa kula sasa

    ReplyDelete
  15. Aaah jamani rahaa!...we usually dont walk alone.

    ReplyDelete
  16. raaha sana. drogba tores na anelka, babu ancelotti kawajaza tu bila formation. bravo carr.. THE KOP forever!!!!!!

    ReplyDelete
  17. anceloti kama vip rudi tu serie A,kwan hyo timu anayeiweza ni mourinho tu,wewe mbinu una unazid kuwatia hasara,sasa unataka mchezaji gan upewe?????????

    ReplyDelete
  18. Hiyo ndiyo raha ya ushindi mliyokuwa mnaikosa kwa kipindi kirefu na hii ni chungu ya kufungwa japo ni mechi moja tu tangu msimu uanze,nawashauri muache sababu zisizokuwa na maana na mcheze mpira,habari za kubebwa na marefa hizi ni porojo zenu tu kumbukeni hivi juzi tu milikuwa hata jezi za timu yenu hamzivai mitaani kwa kuogopa kusutwa leo ushindi mechi mbili tu mwapiga mayoweeeeeeeeeeeee dunia yote iwasikie.Any way tunajua kipofu kaona mwezi leo lazima ashangilie but ukweli utabaki palepale kuwa MAN U ni taifa kubwa na primier league lazima tuchukue kombe msimu huu kama kawaida baada ya kuwaazima wale jamaa pale darajani mwaka jana.

    ReplyDelete
  19. Kusema ukweli Torres jezi hazijakupendeza kabisa.Kama vipi rudi bwawani ukaongelee bwawani.

    ReplyDelete
  20. CHELSEA CLINTON FC!!!!! mpoooooo
    MANURE nao wamepokea kichapo toka Wolves!!

    Money can never buy history, tradition and glory in soccer!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...