Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mimi nina swali moja tu kwa wanaolewa kuhusu hizi noti zetu mpya.

    Hivi picha ya nyoka ambayo inaonekana kushoto mwa picha nyingine ya Nkrumah Hall iliyo upande wa nyuma ya noti ya Tshs. 500 ina maana gani hasa?
    Nimeshawishika kuuliza hivi kwani nimepata kudokezwa kwamba hiyo picha inahusiana na Free Masonry na kwamba hata kwenye utengenezaji wa noti za nchi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tanzania freemasons wana kawaida ya kuweka mkono wao. Naomba wenye ufahamu kuhusu jamabo hili wanieleweshe.

    ReplyDelete
  2. Kulikuwa na ulazima au na maana kubwa ya kuweka picha ya Rais kikwete katika noti mojawapo ikiwa kama ukumbusho wa upinzani wa CCM iliyopata kutoka vyama vya upinzani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...