Mbunge wa Namtumbo Mh. Vita Kawawa akiwa na mdogo wake Mbunge wa Viti Maalumu Zainabu Kawawa wakibadilishana mawazo bungeni Dodoma leo. Picha na Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wizi mtupu huu

    ReplyDelete
  2. wizi gani unaongea wewe usiojua kitu?kama huwajui nyamaza
    waliamua kusoma na wewe kasome.wala hawamkushawishi babayao wizi
    na wala hakuiba ongea mengine. ungejua historia yao kwanza ya maisha.
    sio watoto wakina nanihii hao walio wezi unaosema. big up mhe. vita
    mungu awalinde

    ReplyDelete
  3. mashallah brother and sister, i salute you, keep it up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...