Kama zilivyo Jumuiya za Watanzania wengine waishio nje ya Nchi. Jumuiya ya Watanzania wanaosomo Chuo cha Kimataifa cha Marekani kilichopo Nairobi, Kenya, eneo la Kasarani ipo kuhakikisha kwamba uwepo wa Watanzania kwenye chuo hiki na Kenya kwa ujumla ni wa amani.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...