Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Ofisa wa Benki ya Dunia nchini, R. Mukami Kariuki na Mkurugenzi wa Benki hiyo nchini, Bw. John McIntire (kushoto) kabla ya mazungumzo yao kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mjini Dodoma leo.Wapili kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel Lymo. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...