
Bondia Awadh Tamimu akinyanyuliwa juu juu mara baada ya kumalizika kwa mpambano dhidi ya mpinzane wake wa siku nyingi,Ashraff Suleiman. Awadh Tamimu amemshinda mpinzani wake Ashraff Suleiman kwa Knock Out katika raundi ya saba ya mchezo wao wa ngumi uzito wa juu uliomalizika usiku huu katika ukumbi wa DDC Mlimani Park jijini Dar.
Awadh Tamimu akiwa amempa makonde mazito mpinzani wake mpaka kumfanya akae chini.
makonde mpaka chini.
... imepita hiyooo...
haya na wewe chukua hiyoooo.
hapa kazi ipo.Kwa mapicha zaidi
BOFYA HAPA


Sio "NO" ni "K.O" = KnockOut
ReplyDeleteMABONDIA WA BONGO WANA VITAMBI KAMA WABUNGE????????? INAONESHA DIET IN ZIRO HAPO JUST KULA CHIPS KUKU KWA WINGI NA JUNK FOODS....
ReplyDeleteTAMIM IS THE ONE OF THE BEST BOXERS IN AFRICA..U GO STRONG MAN.
ReplyDeleteNdugu wakwanza tofautisha uzito kuna laht fry, but fray heavy laght kwa hiyo usine wanavitanmbi lakini jast niwepesi
ReplyDeleteKisheria bondia hatakiwi kumtwanga bondia mwenzake akiwa ameshaanguka chini. Refa aliyesimamia hili pambano alitakiwa am-disqualify Tamim kwa kumpunch huyo bondia
ReplyDelete1-kwa nyuma
2-Bondia alishaanguka chini.Kama magoti yameshagusa sakafu hiyo inahesabika Knock down hivyo refa anatakiwa awatenganishe mabondia.
Hiyo picha ya tatu inaonekana Tamim alikuwa bado anamshambulia mwenzake angali yupo chini na amegeuzia mgongo.
Hii hairuhusiwi ktk sheria ya ndondi na michezo mingine ya kupiga.
****Michuzi usiibanie hii***