Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kulia) akimshukuru Balozi wa Marekani Nchini Alfonso Lenhardt (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao kuhusu masuala ya nishati na madini ikiwa ni pamoja na miradi ya Millennium Challenge Corporation (MCC). Balozi huyo alizitembelea leo ofisi za Wizara ya Nishati na Madini zilizopo jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Marekani Nchini Alfonso Lenhardt (katikati) akiongea na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kulia) kuhusu masuala ya nishati na madini ikiwa ni pamoja na miradi ya Millennium Challenge Corporation (MCC) wakati balozi huyo alipozitembelea ofisi za Wizara ya Nishati na Madini leo zilizopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi Msaidizi wa MCC Matthew Kavanagh.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. haya Waziri mwengine huyo aliejaza samani za nje katika ofisi yake.

    ReplyDelete
  2. Hawa mabalozi wa Marekani wakitoka hapo wananadika report kwa U.S State department. May be haya mazunguzmzo tutayoana kwenye wikiLeaks.

    ReplyDelete
  3. naona mkubwa yuko macho leo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...