Zaidi ya wadau wapinda michezo na mazoezi 150 wamejitokeza katika bonanza la mazoezi ya viungo lililofanyika leo viwanja vya Leaders Club jijini Dar. Bonanza hilo limeandaliwa na kituo cha mazoezi cha Genesis kilichopo Kijitonyama jijini Dar ambapo Mkurugenzi Bw. Samwel Kihampa wake ameshukuru kwa jinsi vilabu vya mazoezi vilivyoitikia mwito wake na kusema ana mpango wa kuandaa bonanza kama hilo angalau mara moja kila mwezi kukutanisha wanamichezo na kuhamasisha ufanyaji wa mazoezi ya viungo kwa ajili ya afyawadau wakila tizi
uwanja ulifurika wadau
Kila mmoja alijitahidi kujituma
mazoezi kwa ajili ya afya
Hakuna aliyetega
Mazoezi yakiendelea
Wote walishiriki kikamilifu
mazoezi muhimu
Baadhi ya wadau waliojitokeza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mnanikumbusha Halaiki enzi za mwalimu! Mwalimu Nyerere Oyee! Oyeee!

    ReplyDelete
  2. mazoezi ni kitu muhimu sana, nawapongeza wadau wote waliojitokeza na gmy ya genesisi kuandaaa, waliweza kukutanisha wadau wengi

    ReplyDelete
  3. Sifa nyingi ziwaendee waandaaji, kwani mazoezi yanaboresha afya zetu na ni muhimu. nawashauri waandaaji kama wanaweza kuandaa mazoezi haya mara 2 au zaidi kwa mwaka.
    Mazoezi Juu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...