Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akipata uji nyumbani kwa mama yake mzazi huko nyumbani kwao Chato, mkoa wa Kagera - sio Loliondo!!!
Mpiganaji Ikunda Erick wa Habari Leo
akipata uji na mama Joni huko Chato

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. huyo mdada mbona kama anaogopa kunywa...anasubiria kwanza bibi aanze! alafu anamcheck bibi kwa jicho la wasiwasi.

    ReplyDelete
  2. This is nice. Ndo maana huyu Magufuli anafanikiwa. Anawakumbuka wazazi wake sana. Na safari zake za kijijini ni baraka tosha. Hii imetulia sana.
    Big Up Mama wa Magufuli kwa kumpa John Pombe Magufuli uji apate nguvu kukimbizana na wasanii wa ujenzi.

    ReplyDelete
  3. Keshapewa dawa akitoka hapo walojenga barabarani mwafa

    ReplyDelete
  4. magufuli mjengee mama nyumba nzuri ya kisasa ya matofali ya kuchoma tu haina garama kubwa wewe ni waziri jamani au renovate basi ili ivutie japo kidogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...