Mwenyekiti wa kamati ya bunge hesabu za mashirika ya umma (POAC) Mh. Zitto Kabwe katikati akiwa na wawekezaji wa madini ya makaa ya mawe Ludewa mchana huu baada ya kamati hiyo yenye wajumbe 16 akiwemo makamu mwenyekiti wake Mh. Deo Filikunjombe mbunge wa Ludewa (shoto) kufanya ziara katika mradi ya Linganga na mchuchuma na kuonya kuwa haitahitaji longo longo toka kwa wawekezaji. Wa pili shoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NDC Dkt Chrisant Mzindakaya. Picha na Francis Godwin
Home
Unlabelled
kamati ya hesabu za mashirika ya uma yatembelea migodi ya liganga na mchuchuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...