
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Lazaro Nyalandu akibadilishana hati za makubaliano na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya and China Dalian International Economic and Technology Cooperation Group Co. Ltd (CDIG), Hu Fan katika ubalozi wa Tanzania mjini Beijing juzi ikiwa ni makubaliano ya utekelezaji wa uzalishaji wa Umeme wa upepo mkoani Singida. Shirika la Maendeleo la Taifa NDC limeingia ubia na kampuni ya kichinia kwa jili ya kuzalisha umeme huo. Picha na George Manongi
Haya ndio mambo tunayotaka kusikia siyo kutuleta mwarabu koko asiyetaka pigwa picha kushinikiza malipo hewa. Serikali lazima inunue yenyewe mitambo yake au kuwa na watu makini wa kuinvest siyo mambo ya Dowans.
ReplyDeleteMimi
Mh.Waziri si unaona ulitaka kuwatimua machinga-wa-kichina? leo Taifa lao ndilo linaokoa jahazi.
ReplyDeleteMdau
Kariakoo
Go Nyalandu! at least Singida wamepata mtu wa hakika kuangalia maslahi ya wananchi. Na singida kuna upepo mwingi tu. Hopefull gharama Za umeme zitapungua ngalau wananchi waweze kununua majiko ya umeme kwa jili ya kupikia na kupunguza deforestation Singida. Go Nyalandu!!!
ReplyDeletehao ndio wawekezaji na siyo kutuletea wamachinga wa kichina kkoo na kusema wnainvest.sana sana wanatuletea msongamano tu.
ReplyDeletejj
TUNAWAPONGEZA KWA HILO MAANA UTAFITI,WALISHAFANYA WAANZE MARA MOJA NA PIA IWE KABISA NA HUKO IRINGA MAANA SEHEMU HIZO MBILI NDIO ZINA UPEPO WA UHAKIKA MWAKA MZIMA,BASI TUAMBIWE MUDA WA KUTIMIA HUO MRADI ISIWE KTK MAANDISHI IKAFIKIA 2025!!!, TUJULISHWE ITACHUKUWA MUDA GANI? NA INAKUWAJE HII MIKATABA INATIWA SAHIHI HUKO KWAO BAADA YA HAPA ANAPOWEKEZA ISIJE IKAWA KAMA ULE WA MADINI.LAKINI ANGALAU HUU UMEWEKWA SAINI UBALOZINI MAANA ULE ULITIWA SAINI CHUMBANI HOTELINI!!
ReplyDelete