Wachezaji wa timu za Kijitonyama Veterans (jezi nyekundu juu) na Gonga FC zote ya kata ya Kijitonyama kabla ya mpambano wao wa kuwania kombe la Pasaka 2011.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Majuto Omari ndani ya jezi nyekundu kuna haja ya kuhoji Uyanga wake! Dulla

    ReplyDelete
  2. Namuona Thomas Kasulamemba wa pili toka kushoto chini, enzi zake jamaa alikuwa anatisha kwa wale wanaokumbuka Tiger mbeya kiboko ya vigogo enzi hizo. Mdau GEORGE HELSINKI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...