Kiongozi wa ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Martine Guerguil(kulia) akizungumza na waandishi wa habari juu ya Tanzania ilivyofanikiwa kukuza uchumi mwaka 2010 kutokana na sera nzuri za fedha.Kushoto ni Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo.Picha na Tiganya Vincent

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...