Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Zuberi Kabwe akisaini katika kitabu cha rambirambi kilichofunguliwa ubalozi wa Japani jijini Dar es salaam
Mh. Zitto Kabwe akitoa pole kwa Balozi wa Japan nchini, Balozi Hiroshi Nakagawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. nyepesi naona unapiga sini hapo

    ReplyDelete
  2. Mhe. hajui uraratibu wa mavazi ya kusaini kitabu cha maombolezo? Jamani hapa sio Gongo la Mboto. Iwapo waenda kwa wenzako heshimu utaratibu wao! Nguo nyeusi!! Tutafika?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...