Marehemu Revelian Stephan Ishungisa

Tunamkumbuka baba yetu mpendwa ambaye leo umetimiza miaka 6 tangu ututoke.
Mungu akulaze pema peponi baba - Amina.

Unakumbukwa na Mkeo mpendwa Mercyline Ishungisa,
wanao,Renatus,Matilda, Edna,Julian na Neema.

Sisi tulikupenda sana ila Mungu alikupenda zaidi.
Tuna kila sababu ya kumshukuru yeye kwa kila jambo.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa
Jina la Bwana Libarikiwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...