Libeneke jipya linalohusu elimu kwa ngazi zote kuanzia sekondari mpaka vyuo vikuu limenzishwa na liko hewani tayari. Taarifa kuhusu semina, udhamini wa elimu, party za wanafunzi, na hata mafunzo vyuoni, pia unaweza kutangaza shule yako au chochote kuhusiana na biashara ya elimu,wanafunzi na hata wadau wa elimu tumeni habari na picha humu.
www.elimubora.com
phone number ni 0714 43 65 94

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...