akamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Hiroshi Nakagawa wakati alipokwenda kwenye Ofisi za Ubalozi wa Japan Upanga jijini Dar es salaam leo, kwa ajili ya kusaini kitabu cha kumbukumbu kufuatia maafa makubwa yaliyotokea Nchini Japan hivi karibuni yaliyosababishwa na Sunami.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kufuatia maafa makubwa yaliyotokana na Sunami Nchini Japan hivi karibuni, wakati alipokwenda katika Ofisi za Ubalozi huo Upanga jijini Dar es salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...