Martin na Angela wakifungua muziki katika mnuso
wao wa nguvu usiku huu ukumbi wa Mlimani City, Dar.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
na
HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Harusi yenu ilipendeza sana
    hongereni sana
    Am wishing u all the best katika maisha mapya

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana Maharusi na hasa dada yangu Angela Ngailo. kaka michuzi uwe unaweka maelezo kidogo kwenye hizi picha hata majina yao kamili basi. Naona huko kwenye picha nyingine unaelezea huyu ni katibu mkuu, wengine hakuna maelezo wakiwemo maharusi. sasa hata maharusi hawana majina ya pili. Weka majina kamili ili wale waviziaji wajue kabisa huyu mkuu keshavuta jiko na huyu binti tayari yuko olewa.
    Nawapa hongera tena wanandoa hao. na Mungu awabariki sana,
    Mwananchi, Kivukoni Front

    ReplyDelete
  3. Congrats Martin & Angela Mungu aibariki ndoa yenu

    ReplyDelete
  4. it was such a nice wedding sijaonaaa...the designs,no.za mpambaji plz...daah..creativity ya hali ya juu...daah..mmependeza sana na maids pia were flyyyyyyy..the dresses...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...