


sehemu ya maandamano yaliyofanyika leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar kuashiria ufunguzi rasmi wa mashindano ya Kamanda Kova ambayo yatazikutanisha timu za Kijeshi na zile za Kiraia.katika mchezo wa ufunguzi uliofanyika mapema asubuhi ya leo.timu ya Polisi Jamii imeweza kuibuka kidedea kwa mabao 3-0 dhidi ya timu ya wanahabari ya TASWA Fc.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...