


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hayo mapikipiki ni matatizo tuu. yanajeruhi, kuua na kuleta vileama kila siku. In fakti gharama za madhara yake ni kubwa mno kwa taifa. Futa pikipiki na leta mabasi makubwa kila eneo.Hakuna short-cut kwenye maendeleo. asikudanganje mtu. Uliona nchi gani iliyoendelea eti inatumia mapikipiki kama njia ya usafiri wa umma. Uza ma shangingi yote nunua mabasi makubwa kila mtu atasafiri raha mustarehe. Ongeza/panua barabara.
ReplyDeleteHii ni fakti...