
Kiongozi wa Timu ya Majimaji ya Mjini Songea Bw. Steven Ndauka ( kushoto) akipokea Hundi ya Shilingi milioni 10 kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Mdaula Fuel Transport Bw. Hafidhi Hashim (kulia). Katikati ni Mjumbe wa Kamati ya uendeshaji wa Timu hiyo Bw. John Nchimbi. Kampuni hiyo imetoa msaada huo ili kuiwezesha Timu ya Majimaji kujiendesha bila kutegemea makusanyo ya mlangoni.
We hafidh huna uzalendo kabisa.Badala ya kuipiga jeki timu yako ya simba unawapa majimaji acha siasa wewe.Muchacho watakutimua.
ReplyDelete