Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Hahaahah Funny! ila HUYU DOGO AKIKUWA AKAJUWA TABIA ZA HUYU ARNOLD NAFIKIRIA NAYE ATAMCHUKIA TU!!!!! SIZANI KAMA ATAMPENDA TENA.. ILA HII INAKUMBUSHA UTOTONI MNAKUTANA BREAK SHULE MOVIE WOTE MMEONA ILA BADO MNA HADITHIANA> MZ.

    ReplyDelete
  2. Brilliant Alex! Wow!!! Thanks for posting this!

    ReplyDelete
  3. Mkuu hiyo mbegu ya Kitanzania kweli? manake mimi nijuavyo watoto wengi wa umri kama huo si rahisi kuongea english.

    ReplyDelete
  4. Mh, mi naona huyo mtoto hasomi shule za kina kayumba, anaonekana kichwani zimo.

    ReplyDelete
  5. haya ndo matatizo ya watoto kufundishwa kiingereza na walimu ambao pia kiingereza nitaabu,wanarithi lugha isiyo sahihi tangu mwanzo.

    ReplyDelete
  6. that police man was his father? niiiiiice

    ReplyDelete
  7. That movie is classified 15 right?

    ReplyDelete
  8. ni ajabu kwangu badala ya kuhadithia kina tom na jerry cartoon ana hadithia mauaji picha ya over 18. shame on all of us, for denying kids their rights to be kids.....(ni aibu kwetu sote kwa kuwanyima haki watoto kuwa watoto na kufanya yale wanayopaswa watoto kufanya badala ya kubandika picha za mauaji kwenye vichwa vyao kwamba ni jambo zuri wakiwa majambazi tunalaumu nani?

    ReplyDelete
  9. huyo mtoto mbona ana lafudhi ya Kiganda..lkn ni bright kwakeli!!

    ReplyDelete
  10. Shule napo je anafanyaje?, Ingekua vizuri kama angekuwa anaongea topick fulani ya Science, Mtamkubuka yule mtoto aliyekuwa anaitwa BETHUEL MBUGUA?, yule ndiyo bright sasa. Hawa watoto wanawaza video usiku na mchana ni weupe sana shuleni. Mimi wala sipendekezi mtoto kuwa kama huyu, au kama u-bright wake ni kwenye kiingereza hiyo ni lugha yake ya mama inavyoonekana.

    ReplyDelete
  11. Whoever prepared this script did a good job.
    Alex is good too

    ReplyDelete
  12. kwa kweli anorld akiona hii huyu mtoto sio mwenzetu tena... kama mtu akipost tweeter then dogo atalamba viza fasta

    ReplyDelete
  13. Huyu kijana ni Mtanzania? Kama ni Mbongo well ni furaha kwetu haswa na inabidi watengeneza filamu za bongo waanze kuongea kiingereza basi??

    It does not matter what kind of movie is this but it is a way 2 go; achana na watu wanaokashifu kuwa ni mtoto kuangalia hii movie...

    Tafadhani tuthibitishiwe kama huyu ni Mbongo!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  14. Alex ni Mtanzania. Nilikuwa nami siamini but ukiangalia hapo hapo kuna video nyingine yupo Alex na wenzake, kuna kabinti kameulizwa akikuwa anataka kuwa nani kakajibu kanataka kuwa Miss Tanzania. If ingekuwa ni Uganda au nchi nyingine kangejibu kuwa Miss wa hiyo Nchi. Na Alex nae akajibu anataka kuwa President wa Tanzania. So jibu lipo humu humu.

    ReplyDelete
  15. absolutely awesome!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  16. huyu mtoto ni mpopo.oa sikiliza hiyo accent.

    ReplyDelete
  17. Kwa umri wake ni sahihi kabisa kujua hayo aliyoyaongelea, nadhani kwa wale wanaoishi nchi zilizoendelea wataniunga mkono, huwa watoto wanafundishwa mambo yote,haijalishi ni mtoto wala nini, tena wazazi wakishajua mtoto wao anapendelea mambo gani ndio wanamuendelezea kipaji chake hichohicho hadi ukubwani. Kila mmoja atasema vyake lakini kwa kweli mimi nampongeza huyu mtoto. Mimi nadhani kilichomvutia ni jinsi yule mtoto mwenzanke alivyookolewa ktk hatari.

    ReplyDelete
  18. Hapana Sikuungi mkono anony wa 9:54, kwasababu nakaa nchi iliyoendelea na mambo hayo hayapo, watoto wanavipindi vyao na channel zao, na kwa muda ambao watoto hawajalala hata vipindi vya wakubwa vinakatazwa kutukana ama kusema mambo ya kikubwa kwenye TV ama radio. na huku wako makini kusimamia na kuchuja waangaliaji wa filamu kama hujafikia umri ambao bodi ya filamu yenye watu makini sio huko kina kayumba ndio wapangaji umri hata uwe nani hutazami filamu hiyo...nchi zilizoendelea zinajua maana ya watoto kuwa innocent mpaka watakapofika umri. bongo mshapoteza generation nzima kwa kuwacha TV ilee watoto bila ya uangalizi nini kinaonyeshwa kwenye hizo TV na halafu mnashangaa kwa nini maadili yameshuka...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...