Mbunge wa Mvomero Mh. Amos Makalla akifurahia zawadi ya mkoba wa School Aid-UK toka kwa meneja mkuu wa taasisi hiyo inayotoa misaada ya vitabu vya elimu Bi. Martha Ware alipotembelea ofisi hizo huko London kuwashukuru kwa msaada wa vitabu vya masomo ya sayansi kwa shule za sekondari 21 zilizopo jimbo la mvomero. Uongozi wa School Aid-UK umemshukuru sana Mh. Makalla kwa ufuatiliaji na utekelezaji wa misaada iliyotolewa na wamehaidi kuendelea kumsaidia zaidi
Mhe Amos makalla akipata maelezo ya ghala la vitabu la School Aid-UK toka kwa meneja mkuu wa taasisi hiyo Bi Martha Ware. Shoto ni mdau Gardol wa Reading

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...