Singo mpya ya Mh. Vicky Kamata, ambaye licha ya kuwa Mbunge hajasahau fani yake. Ameiambia Globu ya Jamii mchana huu kwamba hivi sasa yuko Studio (baada ya kutumikia wananchi katika shughuli za bunge)akiandaa vibao kadhaa kabla ya kumwaga albamu yake hivi karibuni. Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
mh. vicky kamata amwaga singo mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuku ulimwiiba kwa Mfalme na ukamla. endelea kula tu Mheshimiwa Vicky. Lakini wimbo hauna mtiririko wa kimantiki. Jitahidi mara nyingine utoe nyimbo zenye mtiririko mzuri kimantiki.
ReplyDeletemimi napenda wanawake na maendeleo - alitoka alivyo
ReplyDeleteHuyo kuku huyo - we endelea tu kula mana ulishamla - msamaha mtu yoyote aweza toa mdomoni lakini sio moyoni - usijidanganye bado una deni kubwa sana
ReplyDeleteHaki sawa kwa wote. Fursa alizopata Vicky zingekuwa zinapatikana kwa wote WANAWAKE NA MAENDELEO ingekuwa mswano..mara BOT, then UK..ghafla ubunge viti maalum..mh!!
ReplyDeleteWimbo mzuri Vicky.well done
ReplyDeleteMwizi wa kuku ni mafisadi, Mfalme watanzania, so wajitokeze na waombe msamaha.Mambo ya fasihi haya. good job Vicky!
ReplyDelete