Wadau kunradhi, umeme haujarudi bado huku.
Ngapi ngapi huko Anfield leo???
-Ankal

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. mechi imealishwa vile vile umeme umekatika Anfield

    ReplyDelete
  2. Liverpool 3 - Man Utd 1.

    ReplyDelete
  3. PIGA vigelegele
    MANU wamenyolewa matatu kwa moja
    Hilo goli la Manu ilikuwa kama ni zawadi tu katika dakika 2 extra. Ilikuwa ni kuwafuta machozi kwani walikuwa waondoka uchi

    ReplyDelete
  4. mpaka natoka dakika ya 57 livepool 2 man united 0

    ReplyDelete
  5. bwawa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...............mvua 3 za maana poleni sana wana united hakuna united tena hapo....na bado...mvua zaidi zinakuja vibonde wetu.............

    ReplyDelete
  6. Wewe muongo kwani uwezi kujuwa kwenye mtandao na umeandikaje hii commment hapo!! but mpira hakuna leo kuna joto saaana huku!!!

    ReplyDelete
  7. HUKU KUNA MGAO WA JUA..SNOW IMEMWAGIKA GAME IMEHAIRISHWA..:(

    ReplyDelete
  8. Nimefurai kweli, walifikiri wameshachukua ushindi. Bwawa OYYYEEE!

    ReplyDelete
  9. hahahahahah kipofu kaona punda

    ReplyDelete
  10. Mechi imeahirishwa maana Ferguson amechelewa kupeleka jina la refa.

    ReplyDelete
  11. Wanaojua 3 Wasiojua 1

    ReplyDelete
  12. Mpaka sasa bado ni siri, kwa hiyo subiri matokeo rasmi saa mbili kasoro.

    ReplyDelete
  13. umewezaje kutuma ujumbe huo bila umeme hahaha sisi sio vipofu

    ReplyDelete
  14. Mechi haijahairishwa wala nini ngoma ni 3-3. LIVA TATU(Defao or I'm sorry ni Defoe dk34 & 46+ na Demba 78) na MAN U TATU (Ronaldo dk40, Teves 81 na Uwen no no no majina ya kidhu haya, ni Muoeni, mmhmm ulimi hauna mfupa Owen 89dk)

    Mdau Nikitokea uwanjani

    ReplyDelete
  15. livepool wamebahatika..ankal contact me nikuletee jenereta bureeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  16. Mungu ameinua joka wa shaba shida iko wapi watu wanapona! Au mnataka hao maaskofu na manabii wanaotumia nguvu za giza kuvuta pesa zenu ndo muamini. Sasa kasikia kilio cha watu wake 500 unapona na wala hiyo 500 hachukui ni ya kanisa tu.

    Pole usiamini. Subiri Yesu anakuja peke yake ndo uamini sio kama Tomaso (Jua Tomaso ilikuwa ni neema tu).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...